Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 5:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo akaondoka kumfuata Naamani. Naamani alipotazama na kuona mtu anamfuata mbio, akashuka garini mwake akaenda kukutana naye. Basi, akamwuliza, “Je, kuna usalama?”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5

Mtazamo 2 Wafalme 5:21 katika mazingira