Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 14:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Nitaushambulia mji wa Babuloni na kuuangamiza kabisa. Nitaharibu kila kitu, mji wote, watoto na yeyote aliyebaki hai. Mimi Mwenyezi-Mungu nimenena.

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:22 katika mazingira