Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 32:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Wapumbavu hunena upumbavu,na fikira zao hupanga kutenda uovu,kutenda mambo yasiyo mema,kusema mambo ya kumkufuru Mwenyezi-Mungu.Huwaacha wenye njaa bila chakula,na wenye kiu huwanyima kinywaji.

Kusoma sura kamili Isaya 32

Mtazamo Isaya 32:6 katika mazingira